Tuesday, June 6, 2017

VIDEO: Mikwaju ya penati iliyoiondoa Simba SportPesa Super Cup

Baada ya jana June 5 2017 kuchezwa michezo ya ufunguzi wa michuano ya SportPesa Super Cup 2017 na kushuhudia AFC Leopards ya Kenya na Yanga ya Tanzania zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup.


AYOTV VIDEO: Mikwaju ya penati iliyoiondoa Simba SportPesa Super Cup
By Rama Mwelondo TZA
onJune 7, 2017 COMMENTS

June 6 2017 michezo ya robo fainali miwili ilichezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, Simba wamejikuta wakiaga michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kufungwa na Nakuru All Stars kwa mikwaju ya penati 5-4, hiyo ni baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare tasa na golikipa wa Simba Daniel Agyei ndio alikosa penati katika mchezo huo, hivyo Gor Mahia atacheza na Nakuru nusu fainali ya pili.



VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

No comments:

Post a Comment